kyakakombo
Member
- Jun 7, 2013
- 41
- 36
Nami niunganishe tafadhali,uenda nikaokoa gharama za kununua chakula cha bei ghali inayotukabiri kwa sasa.Wapo nicheck namba yako jumatatu nikupe mtu
Wadau Amani iwe kwenu
Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier
Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
Ingia YouTube "biolifevicious" nimetoa maelekezo
Safi kabisa pamekuchaWadau Amani iwe kwenu
Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier
Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
HUnashida gani??
Weka namba hapa mkuu hii fursa wengi wanaitafuta mtu wako atapata watejaWapo nicheck namba yako jumatatu nikupe mtu
Una mtaji? Hii kitu kwa nje huonekana ni kitu rahisi cha kufanywa na kila mtu, Ila kama huna mtaji wa kutosha hutaweza, utaishia kuanza kuuza mbegu na kutoa elimu watu waje kununua mbegu kwako.Wadau Amani iwe kwenu
Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier
Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
Hii kazi is very simple kuhusu mtaji sio case sana muhimu uwe na vifaa husika tu gharama hakuna material ni bure kabisa maana uchafu wa chakula hauzwui ukienda migahawani utabeba hata fuso zima muhinu nikuuchambuaH
Weka namba hapa mkuu hii fursa wengi wanaitafuta mtu wako atapata wateja
Pm mkuuH
Weka namba hapa mkuu hii fursa wengi wanaitafuta mtu wako atapata wateja
Sidhani kama nahitaji mtaji mkubwa ninachotaka nianze kuzalisha kidogo kidogo kwa ajiri ya kujifunza nikishaweza napanua mradi kwa ajili ya uzalishaji mkubwaUna mtaji? Hii kitu kwa nje huonekana ni kitu rahisi cha kufanywa na kila mtu, Ila kama huna mtaji wa kutosha hutaweza, utaishia kuanza kuuza mbegu na kutoa elimu watu waje kununua mbegu kwako.
Hii kitu ni nzuri ila kwa commercial farmer ni capital intensive, unatakiwa uwe na organic waste za kutosha, production site inatakiwa iwe mbali na makazi ya watu, in the mean time kwa DSM kuna mzungu anafanya anachukua organic waste kwa masoko, na anauza vitu kadhaa mpaka mbolea anauza,, yupo mchina anafanyia mkuranga na yeye anawauzia hao watengenezajiwakubwa wa vyakula vya kukuSidhani kama nahitaji mtaji mkubwa ninachotaka nianze kuzalisha kidogo kidogo kwa ajiri ya kujifunza nikishaweza napanua mradi kwa ajili ya uzalishaji mkubwa