Natafuta wanapouza mayai ya jumla Dar es Salaam

Natafuta wanapouza mayai ya jumla Dar es Salaam

incinc

Member
Joined
May 23, 2023
Posts
17
Reaction score
24
Wanaforum naomba kujua kwa yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza mayai ya jumla kwa Dar es Salaam.

Trey ni sh ngapi na unatakiwa kuchukua trey ngap ili upate kwa bei ya jumla?
 
Kariakoo mtaa Sikukuu na Udoe
Kariakoo mtaa wa Sikukuu na Kariakoo
Hiyo mitaa yote miwili wanauza jumla
 
Back
Top Bottom