Natafuta Wanawake Marafiki

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Natafuta wanawake marafiki wa kalamu, email, whatsapp, n.k, wanaopenda kusafiri (kwa gharama zao) nje ya Tz, wanapewa nafasi zaidi, . Urafiki wetu ni wa kujengana, kuimarishana, kutiana moyo na kusaidiana kwa hali zote. Nipm kwa ufafanuzi zaidi.

Please, mtoto wa shule na under 18, kaa mbali na huu uzi.
 
Hili tangazo linaweza kukuotesha mvi ukiwa bado kijana. Hivi mpaka leo kuna wanawake wanaojitegemea kwa kila kitu
 
Pploppp Pl ooool looping ööòlllwlplo
 
Lkkl
Thanksgivik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…