Kwanini umeamua kuchafua uzi wa mwenzako wakati yupo mawindoni.Leeolo
Usije ukasema na harusi gharama yakeMdada atakayejaribu kunifuata kwa gharama zake, nilipo naahidi kumuoa! Labda hii itakuwa motisha.
RafikiNdo unatafuta mke nini
Njoo usiogopeUsije ukasema na harusi gharama yake
Ukimpata ulete mrejeshoRafiki
Ngoja nisake nauli nijeNjoo usiogope
[emoji15]Mdada atakayejaribu kunifuata kwa gharama zake, nilipo naahidi kumuoa! Labda hii itakuwa motisha.
Weka niaNgoja nisake nauli nije
Wewe unaandikisha ndoa za humu?Ukimpata ulete mrejesho
Nia ninayo na nguvu ninayoWeka nia
Yeah....Wewe unaandikisha ndoa za humu?
Mimi sio mwislamu, maana wao wataenda kumiliki wanawake peponi, minimum kabisa ni 80!Utawakuta mbinguni