Natafuta Wanawake wa kuchati nao

Country Code

Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
5
Reaction score
2
Habari zenu wana JF?
Natafuta marafiki wakuchati nao, waliokomaa kiakili.
Kama wewe ni KE ruksa kuja PM
 
Hilo la kuambatanisha sifa ni lamsingi sana
 
multiple ID zinazidi kuja kasi kama spidi ya anko MAGU
 
1. Sambaa from Lushoto - tanga
2. Cjaoa ila nna mtoto
3. Diploma in Multimedia
4. Hobby yangu ni kufanya design, Music especial hiphop
5. Mwenye umri kwanzia 25 - 100yrs, asiwe mfupi, wastani kwa umbo sio mnene sana
wala mwembamba sana, anaejitambua, mwenye mawazo productive
 
Wokeey... Basi watakuja,hope ushaanza kupata jam huko pm
 
Ulikuwa hujui unataka mwenye sifa gani, maan bila kuulizwa usingesema. By the way all the best
 
Hilo la kuambatanisha sifa ni lamsingi sana
Sifa zake ni mwanaume anayejua kusoma na kuandika, yeye hajasema anaomba mke wala anatafuta kazi, bali anataka mwanamke tuu wakuchat naye, na sifa pekee za kuchat ni kusoma na kuandika au vipii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…