Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
mh hapa hakuna mazuri tumeibiwa ngoja nikaseme tuUngeambatanisha na sifa zako
ahaaaaa mumeo kakaangu yule tena dam dam nimwambieWansemelea kwa nani?
Aah umwambie nini sasa jamani! Hujui kaka ako nampendaga sanaahaaaaa mumeo kakaangu yule tena dam dam nimwambie
Aah umwambie nini sasa jamani! Hujui kaka ako nampendaga sana
Ah we kaka ako sithubutu kumchepukia. AnantoshaAKATI nakuona unataka kuchepuka ivi ivi namwambia la sivyo unipe nisiseme hahaha mimi sidhuriani na kakaangu
Ah we kaka ako sithubutu kumchepukia. Anantosha
DuuhHilo la kuambatanisha sifa ni lamsingi sana