Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

Jerusalem24

Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
7
Reaction score
3
Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa.

MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano

Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
 
Back
Top Bottom