Natafuta kampuni au hardware wanaoweza kununua nondo kutoka kwenye kiwanda chetu kipya kilichopo kibaha kwa sasa tunazalisha Bs 500 kuanzia size 8mm-32m,karibuni sana tufanye biashara kwa bei nzuri sana za nondo tuwasiliane na maelezo mengine kupitia namba 0794669628 watu wa mikoani kuna discount yenu.
Ushauri tu . Ni vema ungefanya business tour ya inchi nzima pita duka Moja Mona la hardware chukuwa mawasiliano na uwaeleze biashara yako ,itakuwa vzuri zaidi.