Habari kama kichwa kinavyojieleza
Ninahitaji warehouse yenye sifa zifuatazo
1.Iwe na ukubwa wa120 sqm
2.Iwe certified na TBS kwa ajili ya kuhifadhia Food Products
3.Iwe na refrigerator au AC itakuwa poa zaidi
KAMA KUNA MWONGOZO MWINGINE ZAIDI YA HAYO NINAYOYAHITAJI MNAKARIBISHWA KWA MAONI
Mawasiliano : 0688 8888 43 / 0677 81 82 83