Natafuta wasafirishaji wa mizigo Morogoro kwenda Dodoma

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
Habari waungwana. Nina mzigo nahitaji kusafirisha kutoka Morogoro kuja Dodoma. Naomba mwenye kufahamu wanaosafirisha mizigo wanijulishe. Shukran
 
Mkuu tumia treni hutojuta na gharama zake ni ndogo sana.
 
Habari waungwana. Nina mzigo nahitaji kusafirisha kutoka Morogoro kuja Dodoma. Naomba mwenye kufahamu wanaosafirisha mizigo wanijulishe. Shukran
Njoo Stesheni ya Moro hapa Kichangani utapata usafiri mzuri na salama zaidi ya mizigo yako mpaka makao makuu ya CCM na Nchi!....CCM Hoyeee😄

Ukiona njia hii ni shida. Njoo hapa Itigi. Jirani na stendi Ya Msamvu. Utapata malori yenye nafasi ya kukubebea mizigo yako.

Ukiona ni shida, njoo stendi ya Dodoma hapa TANESCO MoroMsamvu. Hapa utapata usafi wa marori ya kutosha kabisa si tu mpaka Dodoma bali hadi Isaka, Kahama, Mwanza mpaka Bujumbura na Kigali!

Ukiona hii ni tabu isiwe shida. Njoo hapa Soko la Mawezi Fuso kibao za kukodi. Hapa utajichagulia kwa kadri ya mfuko wako!

Karibu Moro. Karibu Mji kaso Bahari!
 
Njoo Stesheni ya Moro hapa Kichangani utapata usafiri mzuri na salama zaidi ya mizigo yako mpaka makao makuu ya CCM na Nchi!....CCM Hoyeee[emoji1]

Mkuu upo moro sehem Gani mi nataka kazi yoyote mkuu nipate hela ya maji mkuu
 
Njoo Stesheni ya Moro hapa Kichangani utapata usafiri mzuri na salama zaidi ya mizigo yako mpaka makao makuu ya CCM na Nchi!....CCM Hoyeee[emoji1]

Ukiona njia hii ni shida. Njoo hapa Itigi. Jirani na stendi Ya Msamvu. Utapata malori yenye nafasi ya kukubebea mizigo yako.

Ukiona ni shida, njoo stendi ya Dodoma hapa TANESCO MoroMsamvu. Hapa utapata usafi wa marori ya kutosha kabisa si tu mpaka Dodoma bali hadi Isaka, Kahama, Mwanza mpaka Bujumbura na Kigali!

Ukiona hii ni tabu isiwe shida. Njoo hapa Soko la Mawezi Fuso kibao za kukodi. Hapa utajichagulia kwa kadri ya mfuko wako!

Karibu Moro. Karibu Mji kaso Bahari!
Kaka naomba contact yako, tatizo sipo Moro
 
Habari waungwana. Nina mzigo nahitaji kusafirisha kutoka Morogoro kuja Dodoma. Naomba mwenye kufahamu wanaosafirisha mizigo wanijulishe. Shukran
Wewe upo wapi.
 
Back
Top Bottom