Natafuta wasambazaji wa kijarida cha bure!

Mwanakijiji,
Haiwezekani kukipata kijarida hicho na kukisambaza kupitia kwenye PM?
 
gagnija, walengwa siyo watu wenye mtandao. Lengo la kijarida si kuwafikia watu walio kwenye intaneti bali walioko mitaani. Watu ambao wanaingia kwenye mtandao mara moja moja au hawaingii kabisa.
 
Nilikuwa namtafuta aliyeanzisha kasheshe lile la Makete,nakupa kubwa ndugu yangu,nasema tuhongidze wa hwawe. Nitakuwa tayari kusambaza hicho kijarida.
 
Sasa hivi tunatafuta wasambazaji wa kijarida cha "Cheche" kwenye mikoa hasa ya Arusha, Tanga, Morogoro, Mbeya na Kilimanjaro. Wasiliana na mhariri wetu kupitia mhariri(at)klhnews.com

Shukrani za dhati.
 





Msambazaji anawezaje kupata credit kwa zoezi hili. Ukiacha swala la gharama, ipo risk ya kuswekwa ndani.

'Benjamin. G. Mwalukasa' (and klhnews) will get the most credits obviously and he is likely to use this fame for financial gain in the future, should he wish to do so.

Msambazaji anawezaje kupata walau recognition kwa kazi hii ya kujitolea? (Recognition kutoka kwa msomaji) - Someone is being used here, don't you think?






.
 

Kuna ukweli ndani yake. Kama inawezekana tafuteni jinsi ya kuwapa Credit hawa jamaa. They are working on the ground, au tuseme wako mstari wa mbele. Lengo ni kutokuwa na ubinafsi katika harakati hizi.
 
mnazungumzia kama credit gani? hivi wanaosambaza vipeperushi vyote vya bure wanapewa credit gani? jamani, kama mtu hawezi asifanye. Haya mapambano hamna kubembelezana wala kupigiana magoti. Unaona huwezi kusambaza bure kwa kujitolea kama waandishi wanavyoandika bure na kwa kujitolea, DON'T DO IT.

Ni kwa sababu hiyo kwa wakati huu hatuweki wala hatukubali matangazo yoyote ya biashara. Lakini tutakuletea habari za kina, maoni huru kabisa, na kwa wakati muafaka. Unachoweza kufanya ambacho ni kidogo ni kusambaza. Huwezi kaa pembeni. Credits haziendi kwa mtu yeyote isipokuwa timu nzima ya Cheche, masupporters wake, na wasambazaji. Lakini zaidi ni wasomaji ambao wanakingojea kila Jumanne.

Shukrani.
 

Somebody once said it is amazing how much can be accomplished if people are more focused on getting things done rather than claiming credit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…