Do the impossible
Member
- Oct 29, 2024
- 24
- 54
Natumaini ni wazima wote nipo mbele yenu natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja ambaye anayo ani pm tufanye biashara nipo Dar es salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hizo bei gani mkuuMtumba au?View attachment 3147771
Laki moja ndo najiuliza hapo vipi. Unataka ya kilo 4.5 tu?Kwani hizo bei gani mkuu
Kama laki moja nachukua upo wapi wwLaki moja ndo najiuliza hapo vipi. Unataka ya kilo 4.5 tu?
DuhLaki moja utauziwa bovu amini nakwambia angalau laki 3 kwa kubahatisha sana
Ok sawa mkuuLaki Moja? 🤔
Unaenda kupigwa pesa yako tu, jipange ununue mashine ya kueleweka.
Nina hela hio tu mkuu ningekuwa nayo tungefanya biasharaOngezea laki 2 na 50 nikupe langu
Sawa bossView attachment 3147785
View attachment 3147786
Kama hizo tulikua tunaziuza 450k za kilo 4.5 na 5.5 used from Japan
Endelea kutafuta mkuuKama laki moja nachukua upo wapi ww
Hakuna kitu Kama hichoNatumaini ni wazima wote nipo mbele yenu natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja ambaye anayo ani pm tufanye biashara nipo Dar es salaam
140 kwa specification hiyo nakupa mpyaKama laki moja nachukua upo wapi ww
Naomba nisaidie,kwanini 16Kg,12Kg etc?Mtumba au?View attachment 3147771
Kg ni saw na kipimo cha lita tu. I don't know inakujajeNaomba nisaidie,kwanini 16Kg,12Kg etc?
Hizo Kg's zinamaanisha nini kwenye washing machine?