Hii ni sooty mold, ni fungus , unaweza kuspray mwarobaini(organic pesticide), madawa mengine ya fungusMlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi. Nilichukua Jani na kupeleka Kwa wataalam wanauza dawa za mimea wanajiita Mangito. Kufika palale kuwaonyesha na wakanipa dawa ya ukungu nikapulize. ILa kilichofuata baada ya kupuliza Ile dawa ni kuwa ilikuwa kama imewaboost na weusi kuzidi Hadi mlimao unashindwa kuzaa vizuri. JE hawa wataalam wapo kweli au ni kumaliziana hela Tu.View attachment 2883472
Hatuiti madawa wewe, sasa tunaita kiuatilifu ambacho kimegawanyika kwenye kiua gugu, kiua dudu, kiua kuvu n.k mkuu wangu.Hii ni sooty mold, ni fungus , unaweza kuspray mwarobaini(organic pesticide), madawa mengine ya fungus
Sio kwamba kiuatilifu ni sumu ya wadudu tu?Hatuiti madawa wewe, sasa tunaita kiuatilifu ambacho kimegawanyika kwenye kiua gugu, kiua dudu, kiua kuvu n.k mkuu wangu.
Umemaliza mwaka gani? Una shahada ya Horticulture unaita visumbufu vya mimea wadudu? πππππnipeni kazi wakuu nina shahada ya kilimo cha mbogamboga na matunda
Hao visumbufu(Wadudu) kwa maelezo yako ni aina gani?tatizo sio ukungu ni wadudu. Hao wadudu ndiyo wanasababisha huo ukungu. Ukitibu ukungu ukaacha wadudu ambao ndo chanzo tatizo haliwezi kuisha
Sawa mtaalamuHatuiti madawa wewe, sasa tunaita kiuatilifu ambacho kimegawanyika kwenye kiua gugu, kiua dudu, kiua kuvu n.k mkuu wangu.
DohNa Mimi jamani mstafeli na mkokomanga yangu inazaa sana lakini wadudu wanaingia kwenye matunda, kwa hiyo matunda yote yanaoza. Msaada tafadhali
Nina changamoto hii pia. Ukijibiwa naomba unitag please..... AsanteNa Mimi jamani mstafeli na mkokomanga yangu inazaa sana lakini wadudu wanaingia kwenye matunda, kwa hiyo matunda yote yanaoza. Msaada tafadhali
Unatakiwa upulize dawa ya wadudu wakati wa maua, hao wadudu Huwa wanaacha mayai yao kwenye maua then tunda linapojitengeneza mayai yanajiangua, larva ndo waharibifu wanaweka matobo na vidonda hivo wanapunguza quality, spray insecticide wakati wa maua