Natafuta wataalam wa madirisha ya aluminium

permanides

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
11,682
Reaction score
14,241
Nianze kwa kuwatakia salumu nyingi za jioni, na wale wafuasi wa Simba, happy Simba day.

Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna nyumba yangu nataka kuiweka madirisha ya aluminium ila bado sijapata mwafaka wa bei. Madirisha yapo 14, kati yake makubwa ni 10 huku mengine yakiwa ni madogo.

Kwa fundi mzuri aliyepo Dodoma anipe mapendekezo ya bei yake kufanya hii kazi, pia hata fundi aliyepo Dar anaweza kunicheki ili bei ikiwa rafiki atengeneze afu niyasafirishe. Aidha, nakaribisha wazo la muuzaji wa vifaa vya kutengeneza haya madirisha ambapo nitampatia vifaa fundi aliyepo Dodoma kwa ajili ya kutengeneza madirisha hayo.

Itakuwa vizuri mawasiliano yote yakafanyika hapa.

Natanguliza shukrani.
 
Sorry mdau ww n fundi wa kila kitu? Au Dalali wa Mafundi
Mm Ni Fundi Umeme, fensi za umeme, CCTV camera, network (Lan) , motor gate, intercom pamoja na security systems... Lakn katika shughuli zangu nyingi haswa za fensi za umeme hua nafanya Kaz na mafundi aluminum..

Ndio maana nakasema anitafute nimpe connection na mafundi zangu wa aluminum
 
Hapo sw.
Asante kwa muongozo mzuri kutoka kwako.
 
nichek apa Mimi no Fundi aluminium 0628 141718 n whatsap pia
 
WAHENGA wataalam sana wanapatikana Kinyerezi mwsho... Unaweka order wanakuja kupima wanakuletea mzigo wanafitisha unawapa hela yao 💯 kazi nzuri
 
Utaratibu wao wa malipo unakuwaje unalipia kwanza yote au
WAHENGA wataalam sana wanapatikana Kinyerezi mwsho... Unaweka order wanakuja kupima wanakuletea mzigo wanafitisha unawapa hela yao 💯 kazi nzuri
 
Habari mkuu?
Ikiwa bado haujapata fundi, karibu tufanye kazi.
Mawasiliano yetu:
0717100052(WhatsApp/telegram)
0784733008
Tunapatikana tegeta kwa ndevu dar es salaam, tunakufikia popote boss.
 
Mkuu Mimi nifundi kutoka Kigoma kama hauja fanikisha nipo nitafute kwa no 0745866224,0629985887, ili tufanye kazi kwa Bei nafu sana
 
Intercom bei gani mzeya?
 
Fundi aluminium_Napatkana dareslaam kigamboni__tunatengeneza Madirisha,milango,partitions za maoficini,maduka yadawa, makabati n.k 0686141321







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…