political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Mkuu huko mbaliPeleka Kilimanjaro/Arusha Utapata Huduma Safi
Asante sana mkuuIngia Instagram search (eddyspaint)
Utakuja kunishukuru baadae!
Hawa wanaoitwa Azam Upholstery Co.Ltd wako vipi mwenye uzoefu naoWakuu, natafuta mabingwa wa kupiga rangi body ya gari irudi kwenye upya wake kama ndo imetoka japani Leo.
Wapi nitawapata? Gharama siyo issue ila ubora ndiyo nautazama.
Msaada tafadhali
Arusha sehemu gani, fundi gani?Peleka Kilimanjaro/Arusha Utapata Huduma Safi