tikotiko
Member
- Jul 9, 2010
- 26
- 0
Wakuu habari za leo;
Jana niliweka post kwamba tunahitaji msichana kufanya kazi za secretarial, nashukuru kwa maoni ya wadau kadhaa tumefanikiwa kumpata mtu.
Kampuni yetu ni ndogo na ni mpya lakini tumeadhimia kuiendesha ki-sayansi zaidi kwa lengo la kutoa huduma bora kabisa kwa wateja wetu. Ili kufanikisha hili tunatarajia kuanzisha TOVUTI YA KAMPUNI MAMA (ambayo ofisi hii ya shughuli zilizoainishwa hapa chini ni sehemu ya hiyo kampuni)
Naomba kwa anayemfahamu mtu mwenye kutengeneza TOVUTI binafsi anitumie data hizo kupitia email ifuatayo:
seluinvestments@gmail.com
Nitashukuru sana kwa msaada wenu wana JF
Areas that we are working on (initially) are:-
· All type of Secretarial Services (Typing, Photocopying and Scanning documents, Mobile Phone, Fax, Landline Telephone & Fax Services)
· All Types of Printing: Barcode , ID Cards, Business Cards and soft paper printing
· Electronic Communication services: Internet & Email, Fax, & Telephone Services
· CD Burning/Copying & recording
· Quick Digital Photo shop (ideally for Passport size Photo)
· Retail Services: Supplying English & Swahili Movies, Stationery, Selling mobile Recharge vouchers(airtime)
· Large size Printing works: Wallpapers, Posts and Tee printing
· Selling beverages (Soda/Juice)