Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Habari wadau wa ujenzi na makazi!
Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano.
Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business.