Airmanula JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 3,527 Reaction score 5,762 Dec 27, 2020 #1 Habari wadau wa ujenzi na makazi! Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano. Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business.
Habari wadau wa ujenzi na makazi! Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano. Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business.
True_garden_designers Senior Member Joined Jul 13, 2020 Posts 106 Reaction score 105 Dec 30, 2020 #2 Billions said: Habari wadau wa ujenzi na makazi! Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business. Click to expand... Nicheki kwa namba 0687239674
Billions said: Habari wadau wa ujenzi na makazi! Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business. Click to expand... Nicheki kwa namba 0687239674
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Dec 31, 2020 #3 Hujasema uko mkoa gani mkuu... wacheki @baris_landscapes huko jamhuri ya instagram
mrs konk Member Joined Nov 17, 2018 Posts 54 Reaction score 97 Jan 2, 2021 #4 Billions said: Habari wadau wa ujenzi na makazi! Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business. Click to expand... Mkuu kama bado hujapata njoo inbox nikuunganishe na mtaalam wa hizo kazi, bei zake, kazi zake na mengineyo mengi mtazungumza. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Billions said: Habari wadau wa ujenzi na makazi! Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano Pana sehem yenye makazi ndio watu wanaanza kuhamia na kuna opportunity kubwa ya business. Click to expand... Mkuu kama bado hujapata njoo inbox nikuunganishe na mtaalam wa hizo kazi, bei zake, kazi zake na mengineyo mengi mtazungumza. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app