Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Habari za jioni wana jamii naomba msaada kwa mtanzania yeyote aishie dubai kwa mtanzania yeyote atakaye guswa kusaidia awe wakike au wakiume naomba aniambie nimtafute kupata huo msaada.
Msaada ninao hitaji ni invitation letter kutoka kwa mkazi wadubai pamoja na copy ya passport yake ili niweze kuambatanisha katika nyaraka zangu za maombi ya passport kwasababu nimekwama katika hatua hiyo maombi yangu hayajapokelewa.
Nimejaribu kwenda na barua niliyojaribu kusaka mtandaoni na kuedit lakini imegonga mwamba inatakiwa pia copy ya passport