Pole ila sifikiri kama mambo ni rahisi kiasi hicho.Habari za jioni wana jamii naomba msaada kwa mtanzania yeyote aishie dubai kwa mtanzania yeyote atakaye guswa kusaidia awe wakike au wakiume naomba aniambie nimtafute kupata huo msaada.
Msaada ninao hitaji ni invitation letter kutoka kwa mkazi wadubai pamoja na copy ya passport yake ili niweze kuambatanisha katika nyaraka zangu za maombi ya passport kwasababu nimekwama katika hatua hiyo maombi yangu hayajapokelewa.
Nimejaribu kwenda na barua niliyojaribu kusaka mtandaoni na kuedit lakini imegonga mwamba inatakiwa pia copy ya passport
Habari za jioni wana jamii naomba msaada kwa mtanzania yeyote aishie dubai kwa mtanzania yeyote atakaye guswa kusaidia awe wakike au wakiume naomba aniambie nimtafute kupata huo msaada. Msaada ninao hitaji ni invitation letter kutoka kwa mkazi wadubai pamoja na copy ya passport yake ili niweze kuambatanisha katika nyaraka zangu za maombi ya passport kwasababu nimekwama katika hatua hiyo maombi yangu hayajapokelewa. Nimejaribu kwenda na barua niliyojaribu kusaka mtandaoni na kuedit lakini imegonga mwamba inatakiwa pia copy ya passport
Hakuna ninachoficha ila ndivyo nilivyoambiwaKuna kitu unaficha? Kwasababu
1.Huhitaji mwaliko kwenda Dubai au kupata visa ya Dubai.
2.Huhitaji barua ya mwaliko kupata passport.
Nenda uhamiaji waambie nataka passport naenda Dubai au SA kutembea. Hii haihitaji mwaliko wa mtu. Ni wewe na hela yako ya nauli na visa ya Dubai tu. SA huhitaji hata visa.
Mtafutie X_INTELLIGENCENgoja nimtag
Ona hii taka taka!, acha watu watafute michongo ya maana wewe komaa na huo udalali wako..Hamna mtu ataishi Kwa magaidi