Natafuta wateja wa asali mbichi

Mjasiliamali Ulitakiwa kuweka full details; mahali ilipo, bei, kama mtu yupo mbali anaipataje.
 
Ile asali mnatuuzia huku mjini? Nyepesi na yenye brown color?

Hata ukiiweka kwenye chai haiyeyuki🙂
 
Nataka asali nyingi nyingi ila wewe sio mfanya biashara serious. Unaanza ubabaishaji kuanzia hatua ya kwanza
 
Naomba bei ya Dumu 1 ikiwa imefika Dar.Je unaweza kusupply Dumu 1 kila wiki Kwa Mwaka Mzima?Tunaingia Mkataba.Nitafute Kwa dm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…