John mayau
New Member
- Jul 17, 2021
- 3
- 2
Natafta wateja wa jumla wa mahindi kuanzia gunia hamsini na Bei ya mahindi ni 5000 kwa debe kazi yangu ni kumkusanyia atanilipa elfu moja kwa kila gunia na gharama za usafirishaji ni juu yake so kama kuna mtu unaweza niunganisha nae naomba nisaidie.
Namba ya simu 0688633630
Namba ya simu 0688633630