Natafuta Watengenezaji wa Biogas hapa Tanzania

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari wanaJamvi,
Natumaini siku yenu inaendelea vizuri.

Kama ilivyotajwa hapo juu, natafuta anayeshughulika na BioGas hapa Bongo. Nahitaji sana.

Asanteni.
 
Karibu Tuwajenge mtambo wa Biogas , iwe nyumbani kwako, Kwenye Mashule , Hotel, Hospital, Hostels, Mitambo yetu Ni Life Time quarantee. Tunatengeneza kuanzia 8Metrecube ,15 ,21,32,50,65,100 mpaka 200 Metrecube. Tunza Mazingira Acha kutumia Kuni na Mkaa tumia Biogas ,Tucheki @franselly 0686124826
 
Toa elimu
Kidogo mf.wanyama wangapi wanatakiwa kwa ajili ya kuzalisha kinyesi,aina gani ya wanyama, nk.
 
Back
Top Bottom