Natafuta watu wa kufanya kazi baada ya Kuanzisha Online TV

Natafuta watu wa kufanya kazi baada ya Kuanzisha Online TV

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Wakuu habari

Nataka kuanzisha online tv.

Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja

Ni pm namba ya simu tuyajenge
 
Weka aina ya watu unaotaka na idadi.
Mkuu mi nineulizia nikaambiwa mtaji wa kuanzia kiasi flani, Ila Sina uzoefu na hii kitu. Ndio maana nimeuliza Kama ntapata watu wanaoelewa hii kitu, ili nianzishe, tupambane. Mi nafanya shughuli nyingine
 
Back
Top Bottom