B BrownRange JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 927 Reaction score 1,191 Sep 22, 2021 #1 Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Sep 22, 2021 #2 Weka aina ya watu unaotaka na idadi.
B BrownRange JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 927 Reaction score 1,191 Sep 22, 2021 Thread starter #3 Joselela said: Weka aina ya watu unaotaka na idadi. Click to expand... Mkuu mi nineulizia nikaambiwa mtaji wa kuanzia kiasi flani, Ila Sina uzoefu na hii kitu. Ndio maana nimeuliza Kama ntapata watu wanaoelewa hii kitu, ili nianzishe, tupambane. Mi nafanya shughuli nyingine
Joselela said: Weka aina ya watu unaotaka na idadi. Click to expand... Mkuu mi nineulizia nikaambiwa mtaji wa kuanzia kiasi flani, Ila Sina uzoefu na hii kitu. Ndio maana nimeuliza Kama ntapata watu wanaoelewa hii kitu, ili nianzishe, tupambane. Mi nafanya shughuli nyingine
B BrownRange JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 927 Reaction score 1,191 Sep 22, 2021 Thread starter #4 Joselela said: Weka aina ya watu unaotaka na idadi. Click to expand... Nimekutumia meseji wasapu hujibu
Joselela said: Weka aina ya watu unaotaka na idadi. Click to expand... Nimekutumia meseji wasapu hujibu
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Sep 22, 2021 #5 Nifanyeje nifungue Online TV? Habari, Nifanyeje nifungue Online TV, na inaweza kugharimu kiasi gani? Asanteni www.jamiiforums.com
Nifanyeje nifungue Online TV? Habari, Nifanyeje nifungue Online TV, na inaweza kugharimu kiasi gani? Asanteni www.jamiiforums.com