Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wangu ni hivi ,ungeenda kuongea na wadau wenye mabaa pale kigoma mjini, band zinapigwa sana pale mjini wakupe connection hizo, kuna vijana wa dsm wamefungu pub kule mjini zinafanya poa sana,njoo dm nikupe no ya mdau pale maweni, mtoto wa kinondoni yupa na pub pale inafanya poa tu.Habari zenu wadau ninahitaji watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover pub inaitwa MKUSHI PUB ipo wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma.
Mawasiliano 0627491978/0656426643
Nakuwekea hili tangazo kwenye platforms za wanasanaa watakutafuta mkuuHabari zenu wadau ninahitaji watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover pub inaitwa MKUSHI PUB ipo wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma.
Mawasiliano 0627491978/0656426643
Ingia kasulu pale kuna makundi mengi ya kuimba,Habari zenu wadau ninahitaji watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover pub inaitwa MKUSHI PUB ipo wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma.
Mawasiliano 0627491978/0656426643