Natafuta watu wa masuala ya usafiri wa anga pamoja na masuala ya utalii wa ndani ya nchi na nje

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Kwema wakuu,

Nahitaji watu wa masuala ya usafiri wa anga wa ndege na helicopter wanatakiwa wawe na experience kwenye masuala yote ya usafiri wa anga nahitaji watanzania lakini kama kuna wakenya, wauganda au waburundi au nchi nyengine yoyote unakaribishwa. Nahitaji pia wale watu wo masuala ya utalii wenye experience nzuri.

kwa maelezo zaidi tuwasiliane
WhatsApp +17623664472
 
Hongera Mkuu kwa kununua ndege zenu binafsi Boeng 747... Hata na sisi ni ndoto zetu...
 
Hiyo ndege hata elon musk hana, unaambiwa kuzunguka kwenye hiyo ndege nzima unaweza kuchukua dakika 30 au hata lisaa lizima ni kubwa sana ndege kama hiyo ndio anaitumia trump
 
Aaaaah mkuu
 
R.i.P Bibi...😥
Naskia alikua mkali wa vita kwenye maswala ya anga kijiji kizima...😶
 
Back
Top Bottom