Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Natafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia
Nataka kujifunza huu mchezo wa ngumi ili nijiweke fiti
Nataka kujifunza huu mchezo wa ngumi ili nijiweke fiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa, nataka kujifunza obondia nijiajiriMawe yote haya mkuu .. Unaangaika na ngumi za nin
hahahaaa, nataka kujifunza obondia nijiari
Njoo mabibo huku kila mtu bondiahahahaaa, nataka kujifunza obondia nijiari
Una gym hukoNjoo mabibo huku kila mtu bondia
Njoo nkufundishe mkuuNatafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia
Nataka kujifunza huu mchezo wa ngumi ili nijiweke fiti
Acha vurugu labda umfundishe namna ya kukosa usingizi..🤣Njoo nkufundishe mkuu
Tifu likianza kwenye lami utaokota wap mawe?Mawe yote haya mkuu .. Unaangaika na ngumi za nin
Jishaue😂Acha vurugu labda umfundishe namna ya kukosa usingizi..🤣
Mwambie aangalie hapa ajifunze kuwa ngumi siyo kujazia.Sasa kujazia na kupiga ngumi vina husiana nini