Natafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia

ila maisha haya dah! Da'Vinci inakufaa hii mshikaji, nafikiri Kuna mtu kazira kula ugali..🤣
 
Njoo nikufundishe mm ni mkufuzi katika sanaa ya mapambano ya bila kutumia silaha(unarmed combat)
 
Isije ikawa umemfumania mtu sasa unataka wenye miguvu yetu tukamtifue
 
Karibu nikufunze ila kuna masharti lazima uyazingatie
 
Ngumi ni tecknik. Anaweza kuwa mwembamba ila ajua ngumi. Hapo kwenye kujazia,nafikiri kuna kitu kinatafutwa hapo zaidi ya ngumi....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…