Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wa yadi sasa wamekuwa matapeli wanakiuka maadali ya kazi yao!!!! kuna kitu wanaita kuvunja !!!!! wanachukua magari yaliyotumika kutoka kwa watu wanangoa namba na mupulizia rangi, makapeti mapya na seat cover mpya ukiingia kichwa unadhani imeingia kutoka japan kumbe scap kutoka kwa mswahilli unapigwa kila siku unakuwa unahudhuria garage kama dozi. Bora uagize mwenyewe si inawezekana???
Karibu ofisini kwetuWadau,
Salaam...
Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi.
Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ?
Mwenye taarifa na muongozo namkaribisha.
Hapo mkuu umemaanisha CIF? Na je umemaanisha lazima mtu alipe 75% ya hiyo CIF?Karibu ofisini kwetu
Sisi ni waagizaji, ila tunakuagizia kwa mkopo, kutoka kampuni yeyote ile uipendayo ...
Kwa mfano, (Labda kwenye website ya Be forward, Enhance, Autocom n.k) ukaiona gari wanauza (Tuseme)
Toyota Ist
Unachopaswa kufanya ni kuja ofisini kwetu na stock Id ya gari husika.
Mfano,
Labda gari husika ni 12m
Badala ya kulipia 12m wewe unalipia 9,000,000
Gari inaletwa, unakabidhiwa 3,000,000 unaimalizia kwa instalment kila mwezi 429,000 for 7 months period.
riba ni 0.00%
MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA.
Semsella Enterprises
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
Sent using Jamii Forums mobile app
HabariHapo mkuu umemaanisha CIF? Na je umemaanisha lazima mtu alipe 75% ya hiyo CIF?
Kwa case yangu, Huyu ndugu anayo 50% then nyingine instalments hapo vipi ?
Wadau,
Salaam...
Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi.
Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ?
Mwenye taarifa na muongozo namkaribisha.
napataje faida?Karibu ofisini kwetu