Natafuta Wauza Magari (Yadi) Wanaopokea Pesa kwa Awamu

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Wadau,

Salaam...

Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi.

Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ?

Mwenye taarifa na muongozo namkaribisha.
 
Hawa watu wa yadi sasa wamekuwa matapeli wanakiuka maadali ya kazi yao!!!! kuna kitu wanaita kuvunja !!!!! wanachukua magari yaliyotumika kutoka kwa watu wanangoa namba na mupulizia rangi, makapeti mapya na seat cover mpya ukiingia kichwa unadhani imeingia kutoka japan kumbe scap kutoka kwa mswahilli unapigwa kila siku unakuwa unahudhuria garage kama dozi. Bora uagize mwenyewe si inawezekana???
 
Asante. Nitampa wazo hili mhusika
 
Wadau,

Salaam...

Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi.

Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ?

Mwenye taarifa na muongozo namkaribisha.
Karibu ofisini kwetu

Sisi ni waagizaji, ila tunakuagizia kwa mkopo, kutoka kampuni yeyote ile uipendayo ...

Kwa mfano, (Labda kwenye website ya Be forward, Enhance, Autocom n.k) ukaiona gari wanauza (Tuseme)

Toyota Ist

Unachopaswa kufanya ni kuja ofisini kwetu na stock Id ya gari husika.

Mfano,

Labda gari husika ni 12m
Badala ya kulipia 12m wewe unalipia 9,000,000

Gari inaletwa, unakabidhiwa 3,000,000 unaimalizia kwa instalment kila mwezi 429,000 for 7 months period.

riba ni 0.00%

MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA.

Semsella Enterprises
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mkuu umemaanisha CIF? Na je umemaanisha lazima mtu alipe 75% ya hiyo CIF?

Kwa case yangu, Huyu ndugu anayo 50% then nyingine instalments hapo vipi ?
 
Hapo mkuu umemaanisha CIF? Na je umemaanisha lazima mtu alipe 75% ya hiyo CIF?

Kwa case yangu, Huyu ndugu anayo 50% then nyingine instalments hapo vipi ?
Habari

Hii sio Cif tu, bali gharama kamili hadi gari kuwa barabarani ukijumuisha na ushuru.

Karibu ofisini, tuweze kujadili naamini tutafikia muafaka.

Semsella Enterprises
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa wanaitwa ecars wacheki instagram unalipa gari kwa miezi saba
Wadau,

Salaam...

Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi.

Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ?

Mwenye taarifa na muongozo namkaribisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napataje faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…