Salaams wana JF,
Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contract za wauza mbao wa Msumbiji, au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.
Jitihada zangu za kuwapata kupitia webiste zao zimekwama.
Ahsanteni,
Edylux
mi huwa nafanya biashara hiyo,nipo Chikongo,tandahimba.eleza unataka mbao za mti gani na size ipi.