Natafuta wauza nafaka kwa jumla jijini Mwanza

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,033
Reaction score
8,805
Habari za mchana wakuu.

Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza.

Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k

Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli.

Asante.

Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi zangu?
 
0621561674
 
Ulikwisha pata mtu wa kukutumia nafaka mkuu? kama bado, tuwasiliane tafadhari, nicheki PM
 
Back
Top Bottom