0621561674Habari za mchana wakuu.
Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza.
Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k
Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli.
Asante.
Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi zangu?
Bado unazo choroko mkuuMimi nipo mtwara nina choroko tani 54 vipi unanipa bei gani
Kwasasa sina ila kuna ndugu yangu anazo tani 18Bado unazo choroko mkuu
Nicheki pm tufanye biasharaKwasasa sina ila kuna ndugu yangu anazo tani 18
Ulikwisha pata mtu wa kukutumia nafaka mkuu? kama bado, tuwasiliane tafadhari, nicheki PMHabari za mchana wakuu.