malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu mnaweza kujua wauzaji wa magari ya Bei nzuri na magari yaliyo katika Hali nzuri...wauzaji wa Mwanza na Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza waone pitia Instagram ya Aisam magari au Jacktan wana bei nzuri na magari mengi.Habar wakuu mnaweza kujua wauzaji wa magari ya Bei nzuri na magari yaliyo katika Hali nzuri...wauzaji wa mwanza na dar
Sema dsm ujanja mwingi mnooo aiseeMagari ya dsm yaliyochoka hupelekwa kuuzwa mwanza
Dar madalali wanaongeza bei sana.....Sema dsm ujanja mwingi mnooo aisee
Bei Gani bossKama unataka gari zuri nijuze nipo mwanza ...kuna spacio nzuri sana ipo inauzwa
14.8 gari ni mpyaBei Gani boss
ni 1.5l ama 1.8l?14.8 gari ni mpya
😁😁14.8 gari ni mpya
1.5ni 1.5l ama 1.8l?