Natafuta wauzaji wa nazi

Natafuta wauzaji wa nazi

Yusuph s

New Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza nazi lakini bado sijafaham wapi naweza pata kununua mzoefu wa biashara hii anisaidie kabla sijala mtaji jamani.
 
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza nazi lakini bado sijafaham wapi naweza pata kununua mzoefu wa biashara hii anisaidie kabla sijala mtaji jamani.
Nenda lindi kijiji kinaitwa nyengedi kamwe hautanisahau
 
Back
Top Bottom