Natafuta wazungu...

Mkishamaliza kujiuliza ni biashara gani,mje mnitajie hayo maeneo kama thread inavyotaka,af will tell you ni fursa gani nakamatia[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Aisee, acha watu wajiulize, na mimi nitakuja kutaja maeneo ukishamaliza kujiuliza.
 
sure mkuu dume kujifanya mwanamke ujue kuna kitu anakitaka hapa jamiiforums
Yaani leo hii anadai yeye ni mwanaume?

Anyway, jinsia ya mtu hainihusu hata kidogo, kuna mambo ya kufanyia mizaha lakini si kama anachokifanya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…