Kama unataka kufanyiwa kazi yako haraka nenda
kwenye freelancer websites. We jiandikishe halafu
post jobs, baada ya muda watu wanaotaka wata-bid.
Wewe kazi yako ni kuchagua anayefaa kutokana
na historia yake (review) na makubaliano kati
yako na huyo aliyebid.