Kama kichwa kinavyo jieleza. Ninaomba msaada kwa yoyote anae fahamu website ambayo naweza kupata PAR yaani Psychometric Assessment report. Nimejaribu web moja ya South Africa ni 50$ which i can't afford. Kama unaijua naomba share link hapa au PM jina au link nitashukuru sana.