FADHILIEJ Senior Member Joined Nov 5, 2010 Posts 132 Reaction score 18 May 10, 2016 #1 Wadau mimi ni muuzaji wa hivi vitu kwa rejareja lakini changamoto niliyonayo ni upatikanaji wake hasa kwa bei za jumla kwani wengi wanaojiita wholesalers ni middleman tuu, Tafadhali anayewajua wauzaji wa jumla wa uhakika anisaidie. ASANTENI SANA.
Wadau mimi ni muuzaji wa hivi vitu kwa rejareja lakini changamoto niliyonayo ni upatikanaji wake hasa kwa bei za jumla kwani wengi wanaojiita wholesalers ni middleman tuu, Tafadhali anayewajua wauzaji wa jumla wa uhakika anisaidie. ASANTENI SANA.
C chipa GM JF-Expert Member Joined Jan 21, 2012 Posts 1,815 Reaction score 2,973 May 11, 2016 #2 dar ya sasa imejaa madalali tu. pole kijana,
FADHILIEJ Senior Member Joined Nov 5, 2010 Posts 132 Reaction score 18 May 11, 2016 Thread starter #3 chipa GM said: dar ya sasa imejaa madalali tu. pole kijana, Click to expand... Hapo ndo penye tatizo mkuu,na unaweza kujiingiza kichwajichwa ukakutana na TRA maana hawa jamaa hata risiti hawatoagi.
chipa GM said: dar ya sasa imejaa madalali tu. pole kijana, Click to expand... Hapo ndo penye tatizo mkuu,na unaweza kujiingiza kichwajichwa ukakutana na TRA maana hawa jamaa hata risiti hawatoagi.
uhaale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2012 Posts 303 Reaction score 153 Jun 23, 2016 #4 chipa GM said: dar ya sasa imejaa madalali tu. pole kijana, Click to expand... Nenda pentagon wako maeneo ya Gerezani.
chipa GM said: dar ya sasa imejaa madalali tu. pole kijana, Click to expand... Nenda pentagon wako maeneo ya Gerezani.
FADHILIEJ Senior Member Joined Nov 5, 2010 Posts 132 Reaction score 18 Jun 24, 2016 Thread starter #5 uhaale said: Nenda pentagon wako maeneo ya Gerezani. Click to expand... Asante sana mkuu,tafuatilia soon.
uhaale said: Nenda pentagon wako maeneo ya Gerezani. Click to expand... Asante sana mkuu,tafuatilia soon.