Are u a serious husband material?
Kila la kheri mkuu,umri wangu miaka 28, Mimi ni mkristo nahitaji mwanamke wa kuoa umri wake ni miaka 20 Hadi miaka 26 awe mrembo na anayejua wajibu wake kwa familia pia mcha mungu sichagui kabila dini ila asiwe mweusi saaana.
NI hayo tu wadau naomba kuwasilisha
Mnicheki pm
[emoji1]Mi mweusi, naona nimedisqualify mapema kabisa!
Yes my wife materialAre u a serious husband material?
wewe tayari hufai, huna busara.Yes my wife material