Natafuta wimbo au teaser ya kipindi cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi

Natafuta wimbo au teaser ya kipindi cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD.

Wimbo unaimba Chei Chei shangazi.

Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
 
NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD.
Wimbo unaimba Chei Chei shangazi
Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
Tufirahi shangazi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dada mkubwa Joannah kuna usalama hapa?
 
Duhhh umenikumbusha mbali saaaana Mkuu Kuna na Ile shambani shambaniiiiii mazao Bora shambaaaani wananchi twendeni shambani ........duhhhhh good old days duhhhhh[emoji39]
 
Back
Top Bottom