Natafuta wimbo fulani

Natafuta wimbo fulani

Makedha

Senior Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
167
Reaction score
53
Hapo kwenye bold ni lyrics ya wimbo nimeosikia kwenye tovuti fulani, lakini wala jina la wimbo wala la mwimbaji halikutajwa...

Mama yangu,
Wewe ni nguzo maishani mwangu,
Taa imulikayo mbele yangu
Daima milele


(sijui lyrics of the rest of the song maana nimepata kusikia kipande kifupi tu)

Unaweza kunipa jina la wimbo huu iwapo unalijua?
 
Klorokwin what a coincidence,lol...nilichungulia nikaona hamna reply yet, una spidi wewe kama thalys🙂 ha ha
 
Back
Top Bottom