kumbuka maneno zaidi alasivyo utaishia hapohapoNi wimbo wa alikiba anaimba kwenye kiitikio ' paraapilaa paraapila papaaa papipaap sijui unaitwaje jina lake msaada tafadhali
Huu wimbo ni WA mwaka Jana mwishoni kama 12 hivi TBC wanapenda kupiga sanakumbuka maneno zaidi alasivyo utaishia hapohapo
inaitwa Zali ni ngoma ya Dully Sykes ft AlikibaNi wimbo wa alikiba anaimba kwenye kiitikio ' paraapilaa paraapila papaaa papipaap sijui unaitwaje jina lake msaada tafadhali
Sawa sawa ngoja niuchekiWimbo unaitwa zali ni wa Dully ft Ali kiba download utaupata
sawa mkuu ngoja waje wakina parapira papaaa...πHuu wimbo ni WA mwaka Jana mwishoni kama 12 hivi TBC wanapenda kupiga sana
Pamoja sana nauchekinaitwa Zali ni ngoma ya Dully Sykes ft Alikiba
Ni wimbo wa alikiba anaimba kwenye kiitikio ' paraapilaa paraapila papaaa papipaap sijui unaitwaje jina lake msaada tafadhali
ππππalikiba anaimba kwenye kiitikio ' paraapilaa paraapila papaaa papipaap
ππππ
Haya bwana, " kimara tembo ni mbali, ilala una Nyumba kali,π₯"Kwa kweli ukiwa na wazo lolote usiogope kulileta JF ona sasa nlikuwa nishaanza kumcheka jamaa ila ndo wimbo ushapatikana ππ