Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
SteveD? I know i can count on you mr deejay?
Nzokanhyiluyapingenu, aise nacheck check na mtu hapa kama wimbo unajulikana huo...
Inabidi labda utaje lyrics zake hapa zaidi ili watu wautambue... kwa yale maneno machache uliyoyataja, wimbo unaonekana kama vile wa nursery school..
labda kumcheck Geeque na maktaba yake anaweza kuwa nao..
baadae, nikiupata pahali nita kupa shout.
Geeque hana, nimecheki EATube, Ngome hana, unaopatikana unaitwa 'Kunguru'. Kuna jamaa alinitumia Hi5, nikasikiliza, siku nyingine naenda link kautoa. Nikiuliza bongo wanaujua but no one has it.
Sikia hapa;
Nilonge Nisilonge - H-Mbizo
Wimbo wa kwanza katika video hiyo club. Huu wimbo unakita kichizi kwenye speakers. I just love this song.

Mazee ninao huo wimbo kwenye Maktaba ya Bongo Radio. Si unajua mambo ya Bongo Radio huwa siwekagi pale EastAfricanTube. Hakuna noma nitakutumia niambie nitumie e-mail gani.
Bahuni utabajua tu.Duuh....!!
Mazee, huo mzigo kwenye kideo ni wako?! lahaulah!! Noana pale mwishoni mwishoni unataja digits zake.... mwanawane, unajua nini.... nimefanikiwa kuzinakili zote!!! lol