M Mubii Senior Member Joined Jul 24, 2008 Posts 153 Reaction score 29 Oct 10, 2010 #1 Natafuta wimbo huu uliopigwa miaka ya 70 ama 80 na bendi ya Tanga International. Nimewahi kuulizia RTD kwenye banda lao la maonyesho pale Mnazi Mmoja mwaka 2009 lakini hawakuwa nayo kati ya nyimbo walizokuwa wanauza.
Natafuta wimbo huu uliopigwa miaka ya 70 ama 80 na bendi ya Tanga International. Nimewahi kuulizia RTD kwenye banda lao la maonyesho pale Mnazi Mmoja mwaka 2009 lakini hawakuwa nayo kati ya nyimbo walizokuwa wanauza.