Natafuta Wimbo wa Ukimwi wa Cheka lakini kabuli lakungoja

Natafuta Wimbo wa Ukimwi wa Cheka lakini kabuli lakungoja

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Wadau natafuta mno huo wimbo, nilikuwa nausikiliza sana nikiwa mdogo na enzi hizo Ukimwi ukiwa kwenye peak yake. Huu wimbo sijui uliimbwa na nani na nimejaribu kuusaka sana bila mafanikio. Mwenye nao please.

Watoto wako ni nani atatunza nauliza, Cheka lakini kabuli la kungoja.Nguo zako ni nani atavaaa nauliza.
 
Wameimba Kuringe brothers ,bwana Ben Lymo na Macha,wazee wa kiboriloni
 
Back
Top Bottom