Natafuta Wireless Wi Fi Router With Sim Card Slot supporting 3G and 4G

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
Wana JF
Nataka nininue hii router kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Jee hapa bongo ninaweza kuzipata wapi? na gharama zake ni sh ngapi?
Thank you in advance
 
Smile na Vodacom wanazo........zinacheza kwenye 150,000 hivi......ukiridhika na gharama go for it.........ila Kama hujaridhika........nicheck.........
 
Smile na Vodacom wanazo........zinacheza kwenye 150,000 hivi......ukiridhika na gharama go for it.........ila Kama hujaridhika........nicheck.........
Asante kwa taarifa.
mimi ninahitaji ambazo i can put any simcard. Nadhan hizi za Voda na Smile zipo locked already. you cannot put another SIM from another netowork
 
Wana JF
Nataka nininue hii router kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Jee hapa bongo ninaweza kuzipata wapi? na gharama zake ni sh ngapi?
Thank you in advance

tafuta kitu kinaitwa mifi, kama budget ni ndogo kwa 50,000 hadi 100,000 unapata ya huawei hii nafkiri pia haina 3g.

kama unataka quality 100,000 hadi 200,000 unapata mifi kubwa muone Young Master
 
Last edited by a moderator:
tafuta kitu kinaitwa mifi, kama budget ni ndogo kwa 50,000 hadi 100,000 unapata ya huawei hii nafkiri pia haina 3g.

kama unataka quality 100,000 hadi 200,000 unapata mifi kubwa muone Young Master

Chifu mkwawa iyo ni modem yenye wifi au ni gharama ya kila mwezi kwa ajili ya modem/router nataka jua na nitashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Chifu mkwawa iyo ni modem yenye wifi au ni gharama ya kila mwezi kwa ajili ya modem/router nataka jua na nitashukuru sana

ni modem tu gharama ni hizi hizi za kawaida. zinauzwa bei ghali sababu kwanza zinatoa wifi halafu pia mnatumia watu wengi kwa pamoja. ukieka nyumbani/ofisini watu wote munatumia modem moja. pia zinakuwa na battery kama unakua umetoka nyumban/ofisini
 
Wana JF
Nataka nininue hii router kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Jee hapa bongo ninaweza kuzipata wapi? na gharama zake ni sh ngapi?
Thank you in advance

ila nafikiri router ya Vodacom ni 3G speed up to 21Mbps haisupport 4G lkn unaweza unlock ika support card zote ya smile ile MIFI sidhani kama ni ya huawei/ZTE/Alcatel hivo ku unlock ni next to impossible ila kuna mtu alinitumia ile Router ya smile ya 350,000/= niliona imeandikwa HUAWEI hivo probability ya ku unlock ni 101%
 
nina router ya Smile ina support 3g, 4g nawezaje ku unlock nimejaribu imenishinda
 
nina router ya Smile ina support 3g, 4g nawezaje ku unlock nimejaribu imenishinda

Mm huu utumwa nilikataa nilinunua zangu Modem ya Huawri 4G kisha kanunua Line yao...

Iwapo hiyo router yako haijaandikwa HUAWEI/ZTE/ALCATEL ujue ku unlock ni next to impossible...

Je yako ukichomoa betri Maker wake au model yake ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…