Umefanikisha?Wadau natafuta yeyote anayeweza ku supply viazi(Irish potatoes / viazi za kupika chips) kuanzia tani kumi(10tonnes).
Nipo Kenya lakini naweza kusafiri kuziona na kukamilisha dili. Wasiliana nami kupitia dm.
Ni pm offer unazopata but viazi saiv vimechangamka bei huwezi pata hasara,mimi nakupa hadi gharama za usafiri hadi kenya isipokuwa vibali tu...bado, offers nazopata zipo mbali na Kenya kwa hivyo usafiri utanigarimu sana.