Marry255
New Member
- Feb 26, 2019
- 2
- 8
Hello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar 2.
Makazi yangu mimi ni dar
Umri wangu ni miaka 23 ila nataka mwanaume wa 23-30 hivi
Asantee ..
Sent using Jamii Forums mobile app